✨EGYPTIAN GLOW GET EVEN SERUM✨
Serum nzuri sana for dark spots, hyperpigmentation, na glowing, Ina even out skin tone na kukupa rangi moja. Wale wenye rangi sita sita tumia hii serum kusawazisha rangi ya ngozi.
Unaweza tumia usoni moja kwa moja ama kusafisha sugu za vidole, viwiko, miguu na dark spots za usoni., makwapa meusi mapaja nk.
Ni organic whitenizer
JINSI YAKUTUMIA
Baada yakuosha uso, kama unatumia toner basi unatumia toner kisha paka glow boost kama unayo kama huna paka get even then paka cream yako. Kama sio mtu anaetumia toner basi ukishaosha uso paka serum yako, massage vizuri iache ifyonzeke then paka face cream yako.
✨Kwa ajili ya sugu ✨
Baada yakuwa umeshasafisha eneo lenye weusi ama sugu, paka ukiwa una massage, jitaidi kuitumia mara mbili hadi tatu kwa siku. Na unapomaliza kupaka serum tumia kitu kama vaselline ama raw shea butter kupaka kwa juu yake. Fanya hivo mara tatu ama mbili kwa siku ili sugu zipotee kwa kasi.